id stringlengths 1 28 | context stringlengths 21 11k | question stringlengths 9 197 | answers dict | lang stringclasses 31
values |
|---|---|---|---|---|
sw_2200_swa | Chiriku
Chiriku alionywa na mamake kutoongea sana. Hakutii.
Shangazi ya Chiriku aliishi mbali. Siku moja,alikuwa mgonjwa.
Chiriku alitumwa kumpelekea shangazi chakula. Ilikuwa jioni.
Chiriku alikutana na Sinso. Sinso alikuwa fisi aliyegeuka mtu. Sinso alimwuliza alichobeba. Chiriku alijibu, ... | Chiriku alonywa na mamake kutofanya nini sana? | {
"answer_start": [
43
],
"text": [
"Kutoongea"
]
} | swahili |
sw_1533_swa | UVUMILIVU
Hapo zama za kale paliishi familia moja katika kijiji cha wachochole. Familia hiyo ilikuwa na jumla ya watu watatu, baba, mama na mtoto mmoja aliyeitwa Bidii. Wazazi wa Bidii walikuwa maskini kupindukia kama jina la kijiji chao. Wazazi wa Bidii walifanya yote wawezalo ili wampeleke mwanao shuleni. Bidii ali... | Mtoto alikua anaitwa nani | {
"answer_start": [
164
],
"text": [
"Bidii"
]
} | swahili |
89 | In Abrahamic religions, the Sabbath () or Shabbat (from Hebrew ) is a day set aside for rest and worship. According to the Book of Exodus, the Sabbath is a day of rest on the seventh day, commanded by God to be kept as a holy day of rest, as God rested from creation. The practice of observing the Sabbath (Shabbat) orig... | Bushe isabata cinshi? | {
"answer_start": [
70
],
"text": [
"day set aside for rest and worship"
]
} | bem |
14 | A proper noun is a noun that identifies a single entity and is used to refer to that entity, such as "Africa", "Jupiter", "Sarah", or "Microsoft", as distinguished from a common noun, which is a noun that refers to a class of entities ("continent, planet, person, corporation") and may be used when referring to instance... | Amagama ezindawo nawabantu abizwa ngani? | {
"answer_start": [
17
],
"text": [
"a noun that identifies a single entity and is used to refer to that entity"
]
} | zul |
1806 | LUKA: Ssenga, wajjawo? Taata: (Yatuula bulungi) Taata: Ssebo. Ozzeeyo? Lukka: Nkuleetedde alipoota y'ebigezo bye twakola mu ssemester esooka. (Awaayo lipoota ye eri taata) Taata: (Alaba bulungi) Nkulaba mu bigezo bibiri era kirabika tolina kalungi mu nsoma ya masomo ga mmeta n'ak'ekimi. Kizibu ki ekiri mu ssemester ezo... | Nani uwikala mu muputule wa kwikalamo | {
"answer_start": [
165
],
"text": [
"taata"
]
} | Bemba |
sw_5163_swa | FAIDA ZA KILIMO
Kilimo ni mojawapo ya sekta ambayo huwasaidia watu wengi wakiwemo wakulima. Kwa mfano, mkulima akipanda miwa shambani, huuza kwa kiwanda cha miwa na kutengenezwa sukari na kuuzwa sehemu mbalimbali nchini na hata Bara la Afrika na kuiletea nchi yetu faida na hata kwa mkulima.
Kilimo pia husaidia kwa u... | Kilimo husaidia kutunza nini | {
"answer_start": [
331
],
"text": [
"mazingira"
]
} | swahili |
sw_2355_swa | Mzozo wa Fisi na Kima
Hapo zamani za kale, kulikuwa na Fisi na Kima. Walikuwa na mzozo kati yao. Walienda kwa hakimu ili awasaidie kuusuluhisha.
Baada ya hakimu kusikiliza kesi yao, aliogopa kuamua. Aliwaza, "Nikimlaumu Fisi, atawala mifugo wangu. Nikimlaumu Kima, atayala mahindi yangu yote! Nifanyeje?" ... | Baada ya wazee wa kijiji kuwasikiliza, waliogopa kufanya nini | {
"answer_start": [
389
],
"text": [
"Kuiamua kesi"
]
} | swahili |
7 | A codex (in modern usage) is the first information repository that modern people would recognize as a "book": leaves of uniform size bound in some manner along one edge, and typically held between two covers made of some more robust material. The first written mention of the codex as a form of book is from Martial, in ... | Yaya sunan inda ake tara littattafai domin karatu? | {
"answer_start": [
1288
],
"text": [
"library"
]
} | hau |
sw_5158_swa | FAIDA ZA KILIMO
Kilimo ni kazi ambayo wakulima hafanya katika mashamba yao. Kilimo ina faida nyingi kwa mfano, tunapopanda miti, tunapata hewa safi na mazingira huwa safi. Miti huchangia katika kuleta mvua. Kutokana na kilimo, utapata vitu kama vile wanyama, mimea au hata mbolea.
Tunupofuga wanyama kama vile ng’ombe,... | Ni nini huleta hewa safi | {
"answer_start": [
173
],
"text": [
"Miti"
]
} | swahili |
3969 | N'afọ gara aga, ọtụtụ ndị nwụrụ n'ihi ndọrọ ndọrọ ọchịchị nkewa, nke na-akpata agha agbụrụ. Ọnwụ bụ otu n'ime mmetụta nke ndọrọ ndọrọ ọchịchị nkewa nke na-akpata agha agbụrụ. Ọnụ ọgụgụ dị ukwuu nke ndị mmadụ, nke a kọrọ na National Today, nwere ike ịnwụ n'afọ gara aga. E wezụga nke ahụ, ụlọ ọrụ mmepụta ihe ruru nde isi... | Cinshi calengele ukuti mu mwaka wapwile kube ifimfulunganya ifingi | {
"answer_start": [
38
],
"text": [
"ndọrọ ndọrọ ọchịchị"
]
} | Bemba |
272 | The Central Bank of Nigeria (CBN) is the central bank and apex monetary authority of Nigeria established by the CBN Act of 1958 and commenced operations on July 1, 1959. The major regulatory objectives of the bank as stated in the CBN Act are to: maintain the external reserves of the country, promote monetary stability... | Kedu ihe bụ mkpọpụtacha CBN? | {
"answer_start": [
4
],
"text": [
"Central Bank of Nigeria"
]
} | ibo |
51 | The Negev or Negeb (/ˈnɛɡɛv/; Hebrew: הַנֶּגֶב, romanized: haNegév; Arabic: ٱلنَّقَب, romanized: an-Naqab) is a desert and semidesert region of southern Israel. The region's largest city and administrative capital is Beersheba (pop. 209,687), in the north. At its southern end is the Gulf of Aqaba and the resort city an... | Negev εserε no wᴐ ᴐman bεn so? | {
"answer_start": [
144
],
"text": [
"southern Israel"
]
} | twi |
sw_2223_swa | Fisi na Kobe
Fisi mlafi aliishi katika kijiji cha Mkosi.
Katika kijiji jirani, aliishi Kobe mwoga. Fisi na Kobe walikuwa marafiki.
Fisi alisikia kwamba kulikuwa na nyuki waliotengeneza asali tamu kuliko yote. Nyuki hao walisafiri mbali na mizinga yao mara moja kwa mwaka. "Lazima tuipate ile asali n... | Nani aliishi katika kijiji jirani | {
"answer_start": [
96
],
"text": [
"Kobe mwoga"
]
} | swahili |
177 | The need for an identity prompted the early settlements of West Africa and the largely nomadic community in North Africa to form states as they had the capacity, due to the trans-Saharan trade, to support formal establishments. In response to this, a strong leadership with authority developed to meet the need for them.... | Hena ne Afrika hene na na odii kan? | {
"answer_start": [
429
],
"text": [
"Sundjata Keita"
]
} | twi |
254 | The region was dominated by Bantu-speaking tribes at least 3,000 years ago, who built trade links leading into the Congo River basin. Congo was formerly part of the French colony of Equatorial Africa. The Republic of the Congo was established on 28 November 1958 and gained independence from France in 1960. It was a Mar... | Ni lilali icalo ca Congo DRC na Congo Brazavile fyapatukene? | {
"answer_start": [
246
],
"text": [
"28 November 1958"
]
} | bem |
sw_4919_swa | MTAKA CHA MVUNGUNI SHARTI AINAME
Hii ni methali ya kiswahili yenye maana ya juu juu kuwa anayetaka
chochote kilichoko chini ya kitanda basi hana budi Lia kuinama ndipo
akifikie kile anachohitaji. Maana ya ndani ya methali hii ni kuwa
anayehitaji lolote lazima atie bidii kulipata la sivyo basi hawezi
lipata. Methali hi... | Nani alimsaidia kuuza vitumbua | {
"answer_start": [
786
],
"text": [
"Rosa"
]
} | swahili |
288 | As of 2018, there are 23 sovereign states where Modern Standard Arabic is an official language. The following is a list of sovereign states and territories where Arabic is an official language. | Kasashe nawa ne suke amfani da larabci a gobnatance a nahiyar Afrika? | {
"answer_start": [
22
],
"text": [
"23"
]
} | hau |
sw_4727_swa | MADHARA YA MADAWA YA KULEVYA
Madawa ya kulevya ni dawa ambao ukitumiwa kwa mwili hudhuru afya ya mtu. Kuna dawa mingi za kulevya kwa mfano: pombe, sigara, miraa, bangi, heroini na vinginevyo.
Madawa ya kulevya ina madhara mengi katika maisha ya mtu na taifa. Dawa hizi hudhuru afya ya mtu kama vile uvutaji wa sigara am... | Madereva walevi wakipatwa na maafisa hutoa nini | {
"answer_start": [
1350
],
"text": [
"hongo"
]
} | swahili |
170 | In 2018, South Africa's highest court found Mr. Zuma guilty of violating the constitution in regard to the lavish spending of 246 million Rand of State funds towards Zuma's homestead in Nkandla. After a home invasion and the subsequent rape of one of Zuma's four wives, Zuma accessed the means to upgrade security measur... | ingakanani imali yomphakathi eyasetshenziswe u-Jacob Zuma elungisa umuzi wakhe? | {
"answer_start": [
126
],
"text": [
"246 million Rand"
]
} | zul |
123 | Akagera National Park is a protected area in eastern Rwanda covering 1,122 km2 (433 sq mi) along the international border with Tanzania. It was founded in 1934 and includes savannah, montane and swamp habitats. The park is named for the Kagera River which flows along its eastern boundary feeding into Lake Ihema and sev... | ni ikihe gihugu gihana imbibi n'uturere parike y'akagera iherereyemo? | {
"answer_start": [
127
],
"text": [
"Tanzania"
]
} | kin |
60 | The Argentina national rugby union team (Spanish: "Selección de rugby de Argentina") represents Argentina in men's international rugby union; it is organised by the Argentine Rugby Union (). Nicknamed the Pumas (Los Pumas in Spanish), they play in sky blue and white jerseys. They are ranked 9th in the world by World Ru... | Iliphi iqembu lamazwe ngamazwe elaziwa ngokuthi yi-The Pumas? | {
"answer_start": [
4
],
"text": [
"Argentina national rugby union team"
]
} | zul |
sw_4742_swa | UKIMWI
Ndwele ya Ukimwi ni upungufu wa kinga mwilini uliompata mtu aliyeambukizwa virusi vya ukimwi ambao husababisha mtu kushikwa na maradhi mbalimbali.
Ugonjwa huu wa ukimwi una dalili mbalimbali ambazo si kuhara, si kutapika, si kukonda kama ng’onda, si kukohoa na dalili zingine nyingi. Ugonjwa huu huathiri afya y... | UKIMWI ni nini? | {
"answer_start": [
28
],
"text": [
"Upungufu wa kinga mwilini"
]
} | swahili |
sw_4888_swa | WANAWAKE KAMA WAHASIRIWA WA MITINDO NA MADHARA YA VITA
Unashindana katika shindano la hotuba. Wanawake wanazidi kuwa wahasiriwa
wa mitindo ndio mada uliyochagua.
Siku njema, mahakimu mashuhuri, walimu, wazazi, na marafiki wenye
upendo. Mada ya leo ni "Wanawake Wanazidi Kuwa Wahasiriwa wa Mitindo."
Kabla sijaanza na h... | Ladha ya kimtindo huamua nini | {
"answer_start": [
1084
],
"text": [
"Haiba"
]
} | swahili |
sw_4971_swa | PIGO LA UGONJWA WA SARATANI
Ugonjwa wa Sararani ni ugonjwa unaoadhiri damu mwilini. Ugonjwa huu
husababishwa kushikana kwa damu na hivyo kuleta ama kusababisha kumea
kwa uvimbe katika sehemu ya mwili iliyoadhirika. Kitambo kidogo,
iliaminika kuwa ugonjwa wa Sararani huadhiri watu wa umri wa miaka
hamsini kuenda juu na... | Ugonjwa gani huathiri damu mwilini | {
"answer_start": [
2348
],
"text": [
"saratani"
]
} | swahili |
sw_1518_swa | KUIMARISHA LUGHA YA KISWAHILI NCHINI KENYA NA ULIMWENGUNI
Lugha ya kiswahili ni lugha inayoendelea sana. Leo hii lugha hii inasemwa na watu wote nchini Tanzania, Rwanda, Burundi, na nchini Kenya. Aidha lugha hii ina wasemaji si hapa hata katika kisiwa cha Kipemba. Kwa sasa, lugha ya Kiswahili inamudhu nchi za masharik... | Ni lazima kina naniwafundishwe lugha ya Kiswahili | {
"answer_start": [
1055
],
"text": [
"wanafunzi wote"
]
} | swahili |
maasai_kikuyu_13 | Eeta modern grazing systems nchere mbeũ oo nkishu itakeĩe kũmotha e dry season kulo nyaka ka-2026 e kauntĩ mar Narok. Thirikaari ya Central Kenya nĩyumĩrĩtie mbeca njerũ cia kũgũra kĩndũ kĩa thĩinĩ wa rũgendo rũru rwa kũgemia njĩra. | Nĩ mĩbango ĩgĩĩ njerũ e Central Kenya ĩria thirikaari yaheanire nchere mbeũ oo nkishu itakeĩe kũmotha? | {
"answer_start": [
158
],
"text": [
"mbeca njerũ cia kũgũra kĩndũ kĩa thĩinĩ wa rũgendo rũru rwa kũgemia njĩra"
]
} | kikuyu |
19 | In November 2014, she released the music video for the Diamond Platnumz-assisted "Coco Baby". In August 2015, she released the single "Left for Good", featuring Patoranking and Godwin Strings. Waje was featured on "Strong Girl", the theme song for One's Poverty is Sexist campaign, and also joined Bono for the Lagos cam... | Kedụ aha egwu Waje buru ụzọ tie? | {
"answer_start": [
82
],
"text": [
"Coco Baby"
]
} | ibo |
sw_3908_swa | Mashaka yaliomsukuma msanii Papa Dennis kujiua
Mashabiki wa nyimbo za injili haswa walioenzi muziki wa mwendezake Dennis Mwangi, maarufu Papa Dennis, wanazidi kuomboleza kifo chake baada ya kuaga dunia siku ya Ijumaa usiku kwa hali tatanishi.
Inadaiwa kuwa mwili wake ulipatikana maeneo ya Ngara muda mfupi tu baada y... | Papa alimpoteza mamake mwaka gani | {
"answer_start": [
531
],
"text": [
"2006"
]
} | swahili |
182638 | Mutula Kilonzo ajitetea kwa kumwakilisha Sonko SENETA Mutula Kilonzo Junior wa Makueni amejitetea vikali dhidi ya shutuma za kumwakilisha Gavana Mike Sonko kwenye kesi ya ufisadi inayomkabili. Seneta huyo amejipata lawamani pamoja na mwenzake Kipchumba Murkomen (Elgeyo Marakwet) na mbunge Daniel Maanzo (Makueni) baada ... | Wace shari'a ce Gwamna Mike Sonko ke fuskanta | {
"answer_start": [
171
],
"text": [
"ufisadi"
]
} | Hausa |
Subsets and Splits
No community queries yet
The top public SQL queries from the community will appear here once available.